top of page
Karibuni
Sustainable and Reliable
![]() | ![]() |
|---|
Home: Welcome
Home: Product Slider
Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
Majibu unayohitaji
Tuna uzaje mabati yetu?
Mabati yetu tunauza kwa mita, Urefu unaotaka tunaweza kukukatia kwanzia mita 0.9 mpaka mita 10.
Tuna rangi gani na Gauge ngapi?
Tuna rangi mbili tu, nyekundu na buluu. Gauge zetu ni 28,26 na 25. Hatuna gauge 32 wala gauge 30 na hatuna mpango wa kuleta.
Material ya bati?
Material tunazo mbili za bei tofauti. Tuna galvanised steel (steel na zinc coating) na gavalume steel (steel, aluminium, zinc na silicon)
Guarantee?
Tunatoa guarantee ya miaka 10 kwa galvanised steel na miaka 15 kwa galvalume steel.
Usafiri?
Hatutoi usafiri lakini kama unahitaji mchukuzi tunaweza kukusaidia kukutaftia
Home: FAQ
Kuhusu Chikai hardware
Biashara yetu inamiaka 13 tangu 2009, inamilikiwa na Mr.Chikai. Tulianza mwanakwerekwe lakini seivi tumehamia Kombeni. Bidha zetu zinatoka China na zina certificate. NYOTE MUNAKARIBUSHWA.

Home: About Us
Home: Contact
bottom of page







